Bila mwathirika (Victimless)

Kuelezea tendo ambalo halimdhuru yeyote ambaye hataki litendwe kwake. Ikiwa hakuna anayeumizwa pasipo kupenda, basi hakuna mwathirika na kwa hivyo hakuna uhalifu.