Adhabu ya jumuiya (Collective Punishment)

Kuadhibu kundi kwa ajili ya matendo ya mmoja au baadhi ya wanachama wake, bila kujali hatia ya mtu mmoja mmoja. Adhabu ya jumuiya daima huzalisha waathirika wasio na hatia na kwa hivyo ni dhuluma.