Manufaa (Benefit)

Kitu ambacho mtendaji hukithamini na kukikubali kwa hiari. Iwapo 'manufaa' yatalazimishwa kwa mtu, si manufaa tena bali ni dhara.